NEWS

Thursday 7 July 2022

Hekaheka CCM: Mwita Meki “Meya” avuta fomu kuwania ujumbe wa NECMWENYEKITI wa Mtaa wa Starehe katika kata ya Nyamisangura, wilaya ya Tarime mkoani Mara, Mwita Meki Mbagi - maarufu kwa jina la Meya (pichani juu kushoto), amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Meya ambaye pia amewahi kutumikia nafasi ya ubalozi wa nyumba 10 kwa miaka 12, amechukua fomu hiyo katika ofisi ya CCM Mkoa wa Mara mjini Musoma, leo Julai 7, 2022.

#MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages