NEWS

Wednesday 6 July 2022

Kumekucha CCM Tarime: Gody Gophigo achukua fomu kuwania Uenyekiti wa UVCCM WilayaMWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Philemon Gotora "Gody Gophigo" (pichani juu kushoto), amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Tarime mkoni Mara.

Kada huyo kijana amechukua fomu hiyo katika ofisi za CCM Wilaya ya Tarime leo Julai 6, 2022.

Godfrey Philemon Gotora "Gody Gophigo"

#MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages