
WAANDISHI wa habari waandamizi, Deus Bugaywa (kulia mwenye fulana nyeusi) na Edwin Soko (mwenye kofia) kutoka jijini Mwanza, leo wametembelea ofisi za gazeti la Sauti ya Mara mjini Tarime na kufanya mazungumzo maalum na wahariri wa gazeti hilo, Jacob Mugini (mwenye fulana ya njano) na Christopher Gamaina.
#SautiyaMaraOnline-Updates
No comments:
Post a Comment