NEWS

Thursday 7 July 2022

Mchaka mchaka CCM: Severwa “Masai” achukua fomu kuwania Ujumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa



KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Julius Severwa - maarufu kwa jina la Masai (pichani juu kushoto), amechukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho tawala.

Severwa ambaye aliwahi kutia nia ya ubunge jimbo la Tarime Mjini kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2020, amechukua fomu hiyo katika ofisi ya CCM Wilaya ya Tarime mkoani Mara, leo Julai 7, 2022.

#MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages