Wakurugenzi Jacob Mugini wa Mara Online (kushoto) na Hezbon Peter Mwera wa Taasisi ya Professor Mwera Foundation (PMF), wakizungumzia ushirikiano wa taasisi hizo mbili juzi, kabla ya kushiriki katika mahafali ya kidato cha nne ya mwaka huu ya Tarime Girls Secondary School inayomilikiwa na PMF.
Wageni waalikwa, viongozi wa Taasisi ya PMF na Tarime Girls Secondary School wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa kidato cha nne wa shule hiyo juzi. (Picha zote na Mara Online News)
MaraOnlineNews-Updtes
No comments:
Post a Comment