
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Sauti ya Mara, Jacob Mugini (kushoto) leo amemtembelea Mkurugenzi wa Professor Mwera Foundation, Hezbon Peter Mwera (kulia) ofisini kwake na kufanya mazungumzo maalumu kuhusu maendeleo ya taasisi hiyo inayomiliki na kuendesha Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na Shule ya Sekondari ya Wasichana Tarime. Hadi sasa chuo hicho kina wanafunzi zaidi 400 kutoka mikoa mbalimbali nchini.
No comments:
Post a Comment