NEWS

Thursday 6 July 2023

Mwenge wa Uhuru wawasili Tarime VijijiniKaimu Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Dkt Vincent Mashinji (kushoto) akipokea Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Mwl Moses Kaegele katika eneo la Komaswa mapema leo asubuhi, kwa ajili ya kukimbizwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (Vijijini) ambapo unatarajiwa kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.3.

 

"Nimeupokea Mwenge wa Uhuru ukiwa unawaka na kumetameta, nitaulinda na kuutunza ili uweze kutekeleza majukumu yake ya ukaguzi na uzinduzi wa miradi katika wilaya ya Tarime," amesema Dkt Mashinji.

#Tunakuhabarisha Ukweli kwa WelediNo comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages