NEWS

Wednesday 2 August 2023

HABARI KATIKA PICHAMkuu wa Mkoa wa Mara, Said Mohamed Mtanda (mwenye fulana nyeusi) akiwa katika ziara yake ya kukagua miradi ya elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (Vijijini) mapema leo Agosti 2, 2023. Wa pili kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Juma Chikoka, na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Solomon Shati, miongoni mwa viongozi wengine na wataalamu mbalimbali.
----------------------------------------------------

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages