NEWS

Wednesday 30 August 2023

Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri, Biteko awa Naibu Waziri Mkuu, Angeline Mabula na Mary Masanja watupwa njeRais Samia Suluhu Hassan

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu, ambapo katika mabadiliko hayo ameanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kuitenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuwa wizara mbili.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages