NEWS

Wednesday 30 August 2023

Rais Samia afungua jengo la ukumbi wa mitihani, chumba cha kompyuta Skuli ya Sekondari ya Muyuni mkoani Kusini Unguja


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akikata utepe kufungua rasmi jengo la ukumbi wa kufanyia mitihani na chumba cha kompyuta katika Skuli ya Sekondari ya Muyuni mkoani Kusini Unguja, Zanzibar jana, lililojengwa kwa ufadhili wa Benki ya Azania. Ufunguzi huo ni mwendelezo wa shamrashamra za kuelekea kilele cha Tamasha la Kizimkazi. Kushoto kwa Rais ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Esther Mang'enya. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages