NEWS

Tuesday 29 August 2023

Rais Samia amteua na kumwapisha Balozi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Usalama wa Taifa
Na Mwandishi Wetu
--------------------------- 

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS). 

“Balozi Siwa ameapishwa leo [jana] tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam, na anachukua nafasi ya Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi,” ilieleza taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Zuhura Yunus, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages