NEWS

Saturday 2 December 2023

Rais Samia ashiriki Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi jijini Dubai


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Rais wa Falme za Kiarabu na Mtawala wa Abu Dhabi, Mhe. Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan (kulia) pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. António Guterres, wakati wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) katika jiji la Dubai Expo, Desemba 1, 2023.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages