RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan (pichani), ameadhimisha kumbukizi ya Siku yake ya Kuzaliwa, leo Januari 27, 2024 huko Muwanda Donge visiwani Zanzibar, ambapo pamoja na mambo mengine, ameshiriki kupanda miti pamoja na wananchi wa eneo hilo, ikiwa ni sehemu ya kutunza mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
-------------------------------------------------
No comments:
Post a Comment