NEWS

Tuesday 30 January 2024

Rais Samia azindua ugawaji wa zana za uvuvi Kanda ya Ziwa, Mwenyekiti CCM Mara (Patrick Chandi) ahudhuriaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ugawaji wa boti za kisasa za uvuvi na vizimba vya kufugia samaki kwa wavuvi waliopo mikoa ya Kanda ya Ziwa, katika hafla fupi iliyofanyika eneo la Bismarck Rock jirani na Ziwa Victoria jijini Mwanza leo Januari 30, 2024.


Rais Samia (kulia) akimsikiliza Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega kuhusu boti za zisasa za uvuvi na vizimba vya kufugia samaki alivyokabidhi kwa wavuvi waliopo mikoa ya Kanda ya Ziwa, leo Januari 30, 2024.


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Patrick Chandi ni miongoni mwa viongozi walioshiriki mapokezi ya Rais Samia katika Uwanja wa Ndege Mwanza na hafla ya uzinduzi wa ugawaji wa zana hizo za uvuvi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages