
Kutoka kulia ni Mwenyekiti UWT CCM Taifa, Mary Chatanda, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Esther Matiko, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Halima Mumuya na Hawa Ghasia ambaye ni Mjumbe wa UWT na Mwanasheria wa Oganizesheni ya CCM, wakifurahia picha ya pamoja jana - walipokutana kwenye semina ya Wabunge Vinara Wanawake katika Siasa - iliyofanyika jijini Dodoma.
----------------------------------------------------
No comments:
Post a Comment