NEWS

Wednesday 14 February 2024

Rais Samia afanya mazungumzo na Makamu wa Rais Bunge la Norway jijini OsloRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, alikutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting), Svein Harberg, katika ofisi za Bunge hilo jijini Oslo jana Februari 13, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages