
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, alikutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting), Svein Harberg, katika ofisi za Bunge hilo jijini Oslo jana Februari 13, 2024.
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Angelina Marco Lubela (aliyevaa kitambaa cha njano kichwani), akiwa kwenye mstari kuelekea kupiga kura wilayan...
No comments:
Post a Comment