NEWS

Tuesday, 1 July 2025

Manchare Heche achochea mchuano CCM, achukua fomu ya ubunge jimbo la Tarime Mjini


Kada kijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Manchare Heche Suguta, leo Julai 1 amechukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea ubunge jimbo la Tarime Mjini katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini Oktoba 2025. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime, Nyasato Manumbu. (Picha na Mara Online News)
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages