
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Simon Kemori Chacha (katikati), leo Julai 1, amerejesha kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Tarime fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea kiti cha ubunge jimbo la Tarime Vijijini katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini Oktoba 2025. (Picha na Mara Online News)
No comments:
Post a Comment