Na
mwandishi wetu,
Kiongozi Mwenza wa
Chama Cha Wachungaji kutoka Makao Makuu ya kanisa la Waadventista Wasatabo(SDA) Ulimwenguni yaliyopo
Washington Marekani Mchungaji Anthony R. Kent amewatahadharisha wanawake wasikubali
kutembelewa na wanauume wakiwa wenyewe.
“Ni hatari kwa mwanaume kumtembelea mwanamke akiwa
mwenyewe na ni hatari kwa mwanamke kumtembelea mwanaume akiwa mwenyewe ” Kiongozi
Mwenza wa Chama Cha Mchungaji Kent amesema leo August 21, 2019 katika mkutano wa viongozi zaidi ya 1,000 unaoendelea
katika kanisa la Sabasaba SDA Tarime Mkoani Mara# Mara Online News
Updates
No comments:
Post a Comment