Kiongozi Mwenza wa
Chama Cha Wachungaji kutoka Makao Makuu ya kanisa la Waadventista Wasatabo(SDA) Ulimwenguni yaliyopo
Washington Marekani Mchungaji Anthony R. Kent( katikati) akiwa katika picha
ya pamoja na viongozi mbalimbali wa kanisa la SDA Mara Confrence pamoja na
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Samweli Kiboye Namba tatu ambaye pia ni mshiriki wa kanisa hilo( wakwanza kulia) leo August
21, 2019 katika mkutano wa viongozi zaidi ya 1,000 unaoendelea
katika kanisa la Sabasaba SDA Tarime Mkoani# Mara Online News Updates
|
No comments:
Post a Comment