NEWS

Tuesday 3 September 2019

IGP SIRRO AFURAHISHWA NA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro leo August 03,2019 amepongeza  maendeleo  ya ujenzi  wa nyumba za askari polisi wa Mkoa wa Kipolisi  Tarime Rorya na kuahidi kutoa shilingi milioni sita  zitakazosadia kuweka miundombinu ya maji safi na salama katika makazi hayo ya askari polisi.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages