
Mkuu waWilayaya Serengeti (DC) Nurdini Babu na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama waWilaya hiyo wamekwenda katika eneo
la ajali ya ndege ya Auric Air ambayo imeanguka leo Septemba 23,2019 na kuua rubani na msaidizi wake(co-pilot) katika uwanja mdogo wa ndege wa Seronera
,ndani ya Hifadhi ya Serengeti.
No comments:
Post a Comment