NEWS

Thursday 21 November 2019

BALOZI CHANA AWASILISHA HATI ZA KUWA MWAKILISHI WA KUDUMU UNBalozi wa Tanzania nchini Kenya Dr Pindi Chana leo Alhamis tarehe 21,2019 amewasilisha hati za utambulisho katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo Nairobi nchini kuwa mwakilishi wa kudumu katika shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi(UN- Habitat) na Mazingira(UNEP)#Mara Online News Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages