Moto umeteketeza nyaraka za Ofisi ya Mtendaji wa
kata ya Sabasaba iliyopo Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara.
Mtendaji wa kata hiyo Hezron Makaranga ameiambia
Mara Online News mapema leo Jumatano kuwa
moto huo ulizuka jana Jumanne
majira ya saa sita usiku.
Chanzo cha moto huo bado hakijfahamika .
TAZAMA VIDEO
No comments:
Post a Comment