Shirika la Plan International kwa kushirikiana na Halmashauri
ya Wilaya ya Tarime leo Novemba 27,2019 limewakutanisha wadau mbalimbali
wakiwemo viongozi wa serikali na asasi
za kijamii kuweka mikakati endelevu itakayosadia kutokomeza ukatili wa kijinsia
kwa wanawake na watoto katika Wilaya ya Tarime Mkoani Mara#Mara Online News Updates
Post Top Ad
Your Ad Spot
Wednesday, 27 November 2019
PLAN INTERNATIONAL YAWEKA MIKAKATI YA KUTOKEMEZA UKATILI WA KIJINSIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment