NEWS

Sunday 3 November 2019

WANANCHI WAPALILIA MITI 4,000 ILIYOPANDWA MARA DAY 2019

Local villagers control weeds  in trees planted during  2019 Mara Day celebration  in Serengeti district
Afisa wa Maji Dakio la Mara-Mori  Mhandisi Mwita Mataro(katikati) akiongoza wananchi  wakiwemo wana Jumuiya ya watumia maji wa Mto wa Tobora  Wilayani Serengeti hivi karibuni kupalilia miti 4,000 iliyopandwa katika maadhimisho ya nane ya siku ya Mara Septemba mwaka huu. Zoezi hilo hutoa ajira ya muda  kwa wananchi# Mara Online News Updates .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages