NEWS

Friday 13 December 2019

KAMBI YA KUOKOA WASICHANA YAFUNGULIWA TARIME



Mkuu wa Wilaya  Tarime Mhandisi Mtemi Msafiri(katikati) akizindua rasmi jana Disemba 12,2019 kambi okozi ya watoto wanaokimbia ukeketeji katika kituo cha  ATFGM  Masanga ambacho tayari kimepokea watoto 492. #MaraOnlineNewsUpdates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages