CNN,
London
SWITZERLAND
imeripoti maambukizi mapya ya virusi vya Corona (Covid-19) kwa watu 1,123 kwa
muda wa saa 24 zilizopita, hivyo kufanya idadi ya visa hivyo kufikia 14,336
hadi sasa huko, amesema Afisa Mkuu wa Shirikisho la Afya ya Umma wa Switzerland
leo Jumapili.
Hadi
sasa watu 257 wameshafariki dunia huko Switzerland kutokana na ugonjwa wa
Corona – ambapo asilimia 13 ya watu 111,000 waliochukuliwa vipimo vya Covid-19
walikutwa na maambukizi hayo.
No comments:
Post a Comment