NEWS

Saturday, 13 July 2024

Necta yatangaza matokeo ya kidato cha sita 2024

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024,leo Julai 13,2024 katika ofisi za NECTA Zanzibar.

 

Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu ambapo ulifanyika katika shule 931 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea (Private Candidates) 258

 

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2024: >>>>GUSA HAPA KUTAZAMA.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages