Mhandisi
Msafiri ametoa maagizo hayo baada ya kuzuru katika mgodi huo uliopo kijiji cha
Kewanja jirani na Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, jana Jumatatu jioni saa
kadhaa baada ya tukio hilo.
Mkuu
huyo wa wilaya ameshuhudia mizoga ya ng’ombe waliokufa baada ya kunywa maji hayo
yaliyotiririka kutoka kwenye shimo la kusafisha mchanga wenye dhahabu mgodi
huo.
Aidha,
Msafiri ameagiza wataalamu wa mazingiira kuzungukia migodi yote ya wachimbaji
wadogo kukagua kama inazingatia usalama wa mazingira na viumbe hai.
No comments:
Post a Comment