NEWS

Thursday 30 April 2020

Waziri Mahiga afariki dunia, Rais Magufuli amliliaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, ametangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt Augustine Mahiga, kilichotokea alfajiri ya leo Ijumaa Mei 1, 2020 nyumbani kwake jijini Dodoma. Rais amesema waziri huyo ameugua ghafla kabla ya kufikwa na mauti.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages