NEWS

Tuesday 12 May 2020

Madiwani, Afisa Utafiti Chadema watimkia NCCR - Mageuzi

Magdalena Japhet na  Frank Makaranga

Madiwani Magdalena Japhet (Viti Maalumu Bunda), Chiluma Sumi (Kata ya Bunda Stoo) na aliyekuwa Afisa Utafiti na Organization Chadema Kanda ya Serengeti, Frank Makaranga, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na NCCR Mageuzi wakidai Chadema kimepoteza mwelekeo na kwamba hakina lengo la kushika dola bali kimebaki kuwa cha watu wachacheNo comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages