Mkuu wa wilaya ya Tarime, Mhandisi Mtemi Msafiri (Kulia) akikabidhi hundi za zenye thamani ya Sh zaidi ya milioni 51 kwa Ghati Methusela (Kushoto) zilizotolewa na Mgodi wa North Mara unaoendeshwa na kampuni ya Barrick kama fidia ya ardhi. Mgogoro huo umedumu kwa takribani miaka sita. Katikati ni Afisa Uhausiano wa mgodi huo, Hussein Lutambi (Picha na Amina Kakiva)
Tuesday, 12 May 2020
DC akabidhi fidia ya mamilioni kwa mwanakijiji Tarime
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment