NEWS

Wednesday 24 June 2020

DC Tarime awapa neno watendaji wa kata


Mkuu wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Mhandisi Mtemi Msafiri, leo Juni 24, 2020 amekutana na maofisa watendaji wa kata wilayani humo na kuwahimiza kutekeleza majukumu yao kwa weledi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa miradi ya maendeleo katika maeneo yao ya uongozi inatekelezwa kwa ufanisi.#Maraonlinenewsupdate

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages