NEWS

Wednesday 15 July 2020

Jafari Chege achukua fomu ya ubunge Rorya

MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jafari W. Chege (kulia), leo Julai 15, 2020 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya ubunge wa jimbo la Rorya mkoani Mara, amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Rorya, Avelin Ngwada (kushoto) - Mara Online News

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages