NEWS

Friday 17 July 2020

Kanali Kichonge atinga na mkokoteni kuchukua fomu ubunge Tarime Mjini


KADA wa CCM, Kanali mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kichonge Mahende Masero, leo Ijumaa Julai 17, 2020 amejitokeza kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania ubunge wa Tarime Mjini kwa kutumia usafiri wa mkokoteni huku akisindikizwa na pikipiki kadhaa.#Mara Online News

2 comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages