NEWS

Thursday 16 July 2020

Peter Masanja arudisha fomu ya ubunge Musoma Mjini

MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Andrew Masanja ambaye ni Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya (pichani), leo Alhamisi Julai 16, 2020 amekamilisha kujaza na kurudisha fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Musoma Mjini, mkoani Mara.#Mara Online News

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages