NEWS

Thursday 20 August 2020

Mwita Waitara awika Tarime Vijijini

Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Alhamisi Agosti 20, 2020 imemteua Mwita Waitara kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha Ubunge wa Jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu.#MaraOnlineNews

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages