NEWS

Thursday 20 August 2020

Jafari Chege rasmi kugombea ubunge Rorya

Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Alhamisi Agosti 20, 2020 imemteua Jafari Chege kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha Ubunge wa Jimbo la Rorya mkoani Mara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu.#MaraOnlineNew

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages