NEWS

Sunday 6 September 2020

Esther Matiko wa Chadema azindua kampeni zake Tarime Mjini

Esther Matiko akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni leo


MGOMBEA ubunge katika jimbo la Tarime Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Matiko leo Septemba 6, 2020 amezindua kampeni zake katika mkutano uliohudhuriwa na mamia ya wananchi kwenye uwanja wa Serengeti, mjini Tarime.

Esther Matiko akinadiwa katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni zake

 

   Matiko amezindua kampeni zake hizo ikiwa ni wiki moja imepita baada ya mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Michael Kembaki kuzindua kampeni zake katika viwanja vya lililokuwa soko kuu la Tarime.

    Uchaguzi Mkuu utafanyika nchini kote Oktoba 28, 2020.#MaraOnlineNews-updates


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages