NEWS

Thursday 17 September 2020

Mkurugezi Tarime Mji aipongeza Tarime Queen kupanda daraja

 


Wachezaji wa timu ya wanawake ya Tarime Queen wakiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, Elias Ntiruhungwa (mwenye suti katikati) alipowaita ofisini kwake leo Septemba 17, 2020 kuwapongeza baada ya kutoka kushiriki mashindano ya kitaifa ya mpira wa mikono (netball) daraja la pili, yaliyofanyika jijini Dodoma hivi karibuni na kufanikiwa kupanda daraja la kwanza. (Picha na Peter Herzon)

2 comments:

  1. ...hello next time vyema mkaandika kwa usahihi....cheo cha mkurugenzi kwa halmashauri za mji ni TD=TOWN DIRECTOR sio Town executive director....kiswahili chake ni Mkurgenzi halmashauri y Mji


    Vile vile mchezo wa netball kiswahili chake ni netball, mpira wa mikono ndiyo unaitwa handball

    ReplyDelete
  2. ...netball ni mpira wa pete sio mpira wa mikono

    ReplyDelete

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages