NEWS

Tuesday 20 October 2020

Mzee Nyarusahi anogesha uzinduzi Baraza la Wazee Tarime Mji

 

Msanii mkongwe wa muziki wa asili nchini, Christopher Nyarusahi mwenye umri wa miaka 78 akitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa Baraza la Wazee iliyofanyika sambamba na ugawaji wa vitambulisho vya matibabu bila malipo kwa wazee katika Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara, wiki iliyopita. (Picha na Mara Online News)

Afisa Tarafa ya Inchage, Jonathan Machango (katikati) akimkabidhi mzee kitambulisho cha matibabu bila malipo katika hafla hiyo. Anayeshuhudia kushoto ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, Dkt Calvin Mwasha. (Picha na Mara Online News)


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages