NEWS

Saturday 27 February 2021

Wanawake tunaweza

 

Kutoka kushoto ni madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma, Naima Minga, Amina Masisa, Eliet Kamila na Asha Mohamed wakimuunga mkono Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Ghati Zephania Chomete (nyuma yao) katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) la Nkende wilayani Tarime, leo Jumamosi Februari 27, 2021. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages