NEWS

Sunday 14 March 2021

HABARI PICHA: Wananchi kwanza

Diwani wa Kata ya Nyanungu, Tiboche Richard (aliyesimama), akichangia mada katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (Vijijini) kilichofanyika Nyamwaga - Machi 12, 2021 - kujadili utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya wananchi wa halmashauri hiyo. (Picha na Sauti ya Mara)

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages