NEWS

Sunday 25 April 2021

TUMEZINDUA KWA KISHINDO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba (wa pili kushoto mbele), Mkurugenzi wa Rasilimali za Maji wa Wizara hiyo, Dkt George Lugomela (kulia mbele), Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria (LVBWB), Dkt Bonaventure Baya (kushoto mbele), viongozi na wadau wengine wa maji wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa mpango wa ugawanaji maji katika bonde la mto Mara, uliofanyika kwenye ukumbi wa Ziwa Letu katika ofisi za LVBWB jijini Mwanza, jana Aprili 24, 2021. #Mara0nlineNews-Updates

 
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba (wa tatu kushoto), Mkurugenzi wa Rasilimali za Maji wa Wizara hiyo, Dkt George Lugomela (wa tatu kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria (LVBWB), Dkt Bonaventure Baya (wa pili kulia), Kaimu Mkurugenzi wa LVBWB, Dkt Renatus Shinhu (kulia) na wawakilishi wa makatibu tawala wa mikoa ya Mara na Mwanza wakifurahia uzinduzi wa mpango wa ugawanaji maji katika bonde la mto Mara, uliofanyika jijini Mwanza, jana Aprili 24, 2021. #MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages