NEWS

Wednesday 21 April 2021

Tuzingatie matumizi bora ya ardhi na uhifadhi endelevu wa wanyamapori na mazingira

Afisa Ardhi na Maliasili wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Rhoida Nelson Nyondo (aliyesimama kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu matumizi bora ya ardhi katika kikao cha viongozi wa Serikali ya Kijiji cha Masurura, wahifadhi kutoka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na maofisa wengine wa Halmashauri hiyo leo, ikiwa ni mwendelezo wa ziara iliyoandaliwa na Hifadhi hiyo kwa ajili ya kuboresha uhusiano kati yake na vijiji inavyopakana navyo na kujadiliana namna bora ya kushirikiana katika uhifadhi endelevu wa rasilimali za wanyamapori na mazingira kwa manufaa ya kizazi cha sasa na vijavyo. #MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages