NEWS

Monday 14 June 2021

DC Bupilipili awaalika wadau wa utalii kwenye kongamano la kutangaza fursa za uwekezaji Bunda keshoMkuu wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara, Mwalimu Lydia Bupilipili (pichani juu), anawaalika wadau wa utalii na wananchi kwa ujumla, kujitokeza kwa wingi kuhudhuria kongamano la kutangaza fursa za uwekezaji, hususan katika sekta ya utalii wilayani humo, litakaofanyika katika Chuo cha Ualimu Bunda, kesho Jumanne Juni 15, 2021.

MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages