NEWS

Wednesday 16 June 2021

IGP Sirro ziarani Tarime leo
MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro (pichani juu) anatarajiwa kuzungumza na viongozi mbalimbali wa kijamii, wakiwemo wa mitaa, vitongoji na vikundi vya ulinzi shirikishi jamii, katika mkutano maalum utakaofanyika kwenye hoteli ya CMG mjini Tarime - Mara, leo Jumatano Juni 16, 2021.
 
Kamanda wa Poilisi wa Mkoa (RPC) wa Kipolisi Tarime-Rorya, William Mkonda ametoa wito kwa viongozi na wadau wote husika kujitokeza kwa wingi kuhudhuria mkutano huo.

MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages