NEWS

Monday 7 June 2021

Uzinduzi wa Mtandao wa Wanawake Laki Moja mkoani Mara ulivyofana katika picha
Furaha ya uzinduzi wa Mtandao wa Wanawake Laki Moja, mkoani Mara, Juni 5, 2021.


Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake Laki Moja Mkoa wa Mara, Noela Gachuma (wa pili kutoka kushoto), Katibu wake, Pendo Tongora (kulia) na viongozi wenzao waliohudhuria uzinduzi wa Mtandao huo mkoani humo, juzi.


Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake Laki Moja Mkoa wa Mara, Noela Gachuma (kushoto) akipokea Katibu wa Taifa, Josephine Ngoda (kulia) na Mlezi wa Mtandao huo, Mkuu wa Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, Tano Mwera (katikati), wakati wa uzinduzi wa Mtandao huo mkoani Mara. Kaulimbiu ya uzinduzi huo inasema "UKATILI WA KIJINSIA MARA SASA BASI"

MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages